UMUHIMU WA MWANAMKE KATIKA KUTIMILIZA NDOTO YAKO

Tangu mwanzo Mungu alijua kuwa kuna umuhimu mkubwa sana kumtengeneza mwanamke ndio maana akasema “si vema mtu huyu aishi peke yake tumtengenezee msaidizi wa kufanana naye”huu msemo ni mgumu sana lakini kuna siri imejificha katika wazo hili la Mungu kwa kumuhurumia mtu mume.

Neno  mother linamaana ya

  M………monitoring   

 O……….organizaniser  

 T………..teacher  

 H…………hearing

  E………..eyes     

R………….responsibility  

Mwanamke ndio kiungo kikubwa sana katika familia na mafanikio ya mwanamume katika dunia hii ya leo,mwanamke ndiye msimamizi,mfatiliaji,mwendeshaji na mkamilishaji wa ndoto ya mume na familia yake

Mwanamke ni mpiganaji,mtetezi,adui wa maadui zako,baada ya mwanamke kuumbwa Mungu akasema “nimeweka uadui kati yako na nyoka(shetani) wewe utamponda kichwa naye atakuponda kisigino mwanzo 3:15”

Kumkosa mwanamke katika maisha ni hatari sana ni sawa na kulikosa jeshi katika nchi,ukifahamu umuhimu wa jeshi katika nchi lazima utaufahamu umuhimu wa mwanamke katika maisha ya mwanaume na familia yake

Mwanamke alitengenezwa kwa mfupa wa mwanaume ila mwanaume alitengenezwa kwa udongo unaweza kuona utofauti mkubwa waliokuwa nao kati ya mwanamke na mwanaume,kamwe udongo hauwezi kushindana na mfupa,mfupa ni kitu kigumu sana uimara wa mwili wa mwanadamu unatokana na mifupa  iliyomo mwilini mwake kuondolewa kwa mfupa katika sehemu ya mwili wa mwanadamu ni mwanzo wa ulemavu kwa mtu husika.

Ndio maana mwanaume hajakamilika bila mwanamke,mwanamke ni tunu ya mwanaume kutoka kwa Mungu,ndio maana maandiko yanasema mke mwema hutoka kwa Bwana,mwanamke ni                kwa mwanaume

Kama maumivu lazima yaje,acha yaje haraka kwa sababu nina maisha ya kuishi na nina hitaji kuishi ndani yake katika njia inayowezekana.kama anataka kufanya uamuzi,afanye hilo sasa kisha ninaweza nikasubiri kwa ajili yake au nikamsahau

Maumivu makubwa zaidi ni kupoteza nafsi yako katika hali ya kumpenda mtu zaidi ya sana na kusahau kuwe wewe ni mtu muhimu sana

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *