UHONDO wa mashindano ya kombe la Mapinduzi 2024 unaendelea leo Januari 07, 2024 kwa michezo miwili ya robo fainali ambapo Wananchi Young Africans watakuwa na kibarua dhidi ya vigogo wa Rwanda, APR FC.

YANGA SC 🇹🇿 vs 🇷🇼 APR FC
🏟️ New Amaan Complex, Zanzibar
⏰ SAA 2:15 USIKU

Burudani itaanza mapema saa 10:15 ambapo Mlandege Fc itachuana na KVZ FC kwenye robo fainali ya kwanza.

MLANDEGE FC 🇹🇿 vs 🇹🇿 KVZ FC
🏟️ New Amaan Complex, Zanzibar
⏰ SAA 10:15 JIONI

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *