SIRI YA SAUTI YA MWANAMKE KWA MWANAUME

  1. Sauti inahamasisha na kuchochea mihamko katika ufahamu wa mtu,
  2. Sauti inavuta usikivu na utulivu 
  3. sauti ni dawa ya ufahamu,
  4. sauti inaendesha ufahamu wa mtu,
  5. sauti inauwezo wa kubadilisha muelekeo wa mtu na maamuzi aliyopanga kuyafanya,
  6. sauti inanguvu ya kubadilisha mazingira ya mtu  aliyoyazoea,
  7. sauti inembea,
  8. sauti inaishi,
  9. sauti inasumbua yaani inaleta shida katika ufahamu wa mtu
  10. sauti inaliza
  11. sauti inakimbiza mtu
  12. sauti inatawala na kuongoza ufahamu wa mtu
  13. sauti inakupa picha ya kitu mtu anachokipitia

AINA ZA SAUTI

  1. Sauti ya furaha,
  2. sauti ya majonzi,
  3. sauti kilio,
  4. sauti ya fujo au kelele,
  5. sauti ya matumaini,mabembelezo,hapo ndio mwanzo wa utulivu wa moyo

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *