Klabu ya Eintracht Frankfurt ya Bundesliga imethibitisha kumsajili mshambuliaji Saša Kalajdžić kwa mkataba wa mkopo kutoka Wolves ya ligi kuu England.

Sasa (26) raia wa Austria atavaa jezi namba 9 kwa muda wa miezi 6 ya utumishi wake kwa mkopo klabuni hapo.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *