MAKALA

Una uwezo wa kuwa vile unavyofikiria…

… Matokeo ya maisha yako yanategemea mawazo yako mwenyewe,….

Ni jambo la muhimu sana katika maisha yako unapoboresha jinsi unavyofikiria, hakuna lisilowezekana Ikiwa utaboresha fikra zako….

Katika maisha unayoishi ni lazima utambue kwamba matendo yako hufuata fikra au mawazo…

…. Hivi ulivyo sasa, Ni matokeo ya fikra au mawazo yako.

Huwezi kubadili tabia au matendo yako bila kubadilisha fikra au mawazo yako…

Psychologist William James anasema

” You can’t change your actions without changing your. thought”

Badili namna unavyofikiri sasa, ili ubadili matendo yako…

Katika hili Maandiko Matakatifu Katika kitabu kitakatifu Cha BIBLIA

Imeandikwa..

“Ndugu zangu, msiwe kama watoto wadogo katika kufikiri kwenu. Kuhusu uovu muwe kama watoto wachanga, lakini katika kufikiri, muwe watu wazima.”

( 1 Wakorintho 14:20 )

TUZIDI KUJIFUNZA NA TUSICHOKE KUJIFUNZA ✍️

Huduma ya msaada wa Kisaikolojia ( tiba ya Mazungumzo Inapatikana) kwa Matatizo ya Kisaikolojia. Mahusiano, malezi, Tabia, Magonjwa ya akili, Pamoja na maendeleo binafsi.

Inapatikana..

Welcome to WordPress. This is your first post. Edit or delete it, then start writing!

1 thought on “MAKALA”

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *