HALI YA INONGA NA MANULA
.
Daktari wa Simba, Edwin Kagabo amesema nyota hao jana wamelepekwa hospitali na wamefanyiwa vipimo ili kujua ukubwa wa majeraha waliyopata.
.
Dk. Edwin amesema Inonga hajapata majeraha makubwa amepewa mapumziko ya siku mbili na ataungana na kikosi baada ya kurejea kutoka jjini Mbeya.
.
Kwa upande Manula yeye atafanyiwa vipimo zaidi Jumanne ingawa inaonekana hajapata madhara makubwa.