CHANZO CHA WEWE KUJITIA NUKSI

CHANZO CHA WEWE KUJITIA NUKSI

NDUGU ZANGU ABARI ZA MUDA HUU POLENI SANA LEO NITATOA MUONGOZO AMBAO UTAKUFUNZA ILI UEPUKANE NA KUJITIA NUKSI NA MIKOSI JAMBO LA KWANZA EPUKA IVI VITU

NA AKIKA UKIEPUKA MABALAA NA MIKOSI ITAKAA MBALI NAWE JAMBO LA KWANZA

1) EPUKA NGUO YAKO KUFANYA DEKIO

2) EPUKA KUTEMA MATE JALALANI AU KWENYE CHEMBA AU KWENYE MITI MIKUBWA

3) EPUKA KUJISAIDIA AJA NDOGO SEHEMU YOYOTE UWENDA SEHEMU IYO IKAWA NI MAKAZI YA MAJINI

4) EPUKA KUOKOTA PESA ZA SARAFU TENA IKIWA IPO KANDO YA MJI

5) UKIFIKA BAHARINI AU KWENYE ZIWA MTO AKIKISHA USIPIJE FIRIMBI AU MAKELELE AU KUJISAIDIA OVYO

5) EPUKA UZINZI WA OVYO MANA KILA MTU ANA BALAA LAKE YAKO UJAMALIZA UTABEBA LAANA NYENGINE

6)USIPENDA KUJIWEKA MWENYEWE MDA MWINGI JICHANGANYE NA WATU AKIKA MIPANGO YAKO IPO KWA WATU

7) KUWA MAKINI UKIJIFUNGUA MAJI UNAYO OSHEWA

8)AKIKISHA UNAPIJA ODI KWENYE MJI WA WA WATU UKITAKA KUNUNUA NYUMBA UKITAKA KUNUNUA KIWANJA OMBA RUHUSA KWENYE UO MJI LAA SIVYO UTO JENGA NA UKIJENGA UTO KAA NA UKIKAA AMANI NDANI AIWEZI PATIKANA

NJIA ZA KUTOA NUKSI CHUKUA MAJI YA BAHARI YANAYO TOKA OGA KWA MANUIZI YA KUOSHA MAILI WAKO JUU YA MABALAA YALIYO KUANDAMA UTAPONA NIPO KWA AJILI YENU

TABIBU RADI KWA SASA NIPO DAR
TAREE 14 NITARUDI TANGA
NAPATIKANA WHTSAPP
+255779756846
0779756846