Category: JIJI TV LIVE
UHONDO wa mashindano ya kombe la Mapinduzi 2024
UHONDO wa mashindano ya kombe la Mapinduzi 2024 unaendelea leo Januari 07, 2024 kwa michezo miwili ya robo fainali ambapo Wananchi Young Africans watakuwa na
MAREKANI YASIKITISHWA NA MATAMSHI YA RAIS NDAYISHIMIYE
Marekani imeonyesha wasi wasi kuhusu matamshi ya hivi karibuni ya Rais Evariste Ndayishimiye wa Burundi kuwa wanapaswa kupeleka kwenye viwanja vya michezo na kuuawa kwa
RAIS PUTIN KUFANYA ZIARA BURUNDI.
Rais wa Urusi Vladimir Putin anatarajia kufanya ziara barani Afrika mwaka huu wa 2024, Burundi na Equatorial Guinea ikiwa ni miongoni mwa nchi atakazofanya ziara
CENI YAFUTA USHINDI WA WABUNGE 80 NCHINI DRC
Tume Huru ya Uchaguzi nchini DRC imefuta matokeo katika baadhi ya maeneo kutokana na kukiukwa kwa kanuni za Uchaguzi. Mbali ya hayo CENI imesema kumeonekana
Saratani ya shingo ya kizazi
Saratani ya shingo ya kizazi ni saratani inayoongoza kwa kusababisha vifo vya wanawake wengi duniani. Inakadiriwa kuwa asilimia 85 ya vifo hivi hutokea katika nchi
NJIA KUMI KUSAIDIA KUPUNGUZA UNENE
Kati ya sababu kuu zinazopunguza uhai wetu ni afya, unene na kutojua kujiangalia vyema. 1-ULAJI Ipo mifumo miwili ya kula. Chakula unachokula Namna unavyokila. Unavyokula.
FAIDA 48 ZA JUISI YA TANGAWIZI AMBAZO ULIKUWA HUZIJUWI
1. Huondoa sumu mwilini haraka sana 2. Huua bakteria wa aina nyingi mwilini hata salmonella ndani ya mwili hata juu ya ngozi 3. Kuna viua