RWANDA YASIKITISHWA NA BURUNDI KUFUNGA MIPAKA YAKE
Rwanda imesema imesikitishwa na hatua ya Burundi kuifunga mipaka yake ikieleza kuwa watakaoumia ni raia ambao wamekuwa wakifanya biashara na shughuli mbali mbali kupitia mpaka
Rwanda imesema imesikitishwa na hatua ya Burundi kuifunga mipaka yake ikieleza kuwa watakaoumia ni raia ambao wamekuwa wakifanya biashara na shughuli mbali mbali kupitia mpaka
Utakubaliana na mimi kwamba hakuna kiumbe haiambacho hakijawahi kuwashwa, tukianzia kwetu sisiwanadamu hadi wanyama, ukiachilia mbali namiwasho ya mtu anayesumbiliwa na maradhi aukunguni, ipo yenye
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi amesema sheria mpya ya uwekezaji ya mwaka 2023 itakuwa bora Afrika ambayo ataisaini
Kujiuzulu kwa Borne kumekuja wakati ambapo Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron akitarajiwa kufanya mabadiliko ya timu yake ya viongozi wa juu kabla ya chaguzi za
Mkuu wa mkoa wa Katanga nchini Jamhuri ya Kimokrasia ya Congo amewaamuru walinda usalama kuondoka nyumbani kwa aliyekuwa Mgombea wa kiti cha Urais Moise Katumbi.
Marekani imeonyesha wasi wasi kuhusu matamshi ya hivi karibuni ya Rais Evariste Ndayishimiye wa Burundi kuwa wanapaswa kupeleka kwenye viwanja vya michezo na kuuawa kwa
Rais wa Urusi Vladimir Putin anatarajia kufanya ziara barani Afrika mwaka huu wa 2024, Burundi na Equatorial Guinea ikiwa ni miongoni mwa nchi atakazofanya ziara