RWANDA YASIKITISHWA NA BURUNDI KUFUNGA MIPAKA YAKE
Rwanda imesema imesikitishwa na hatua ya Burundi kuifunga mipaka yake ikieleza kuwa watakaoumia ni raia ambao wamekuwa wakifanya biashara na shughuli mbali mbali kupitia mpaka
Rwanda imesema imesikitishwa na hatua ya Burundi kuifunga mipaka yake ikieleza kuwa watakaoumia ni raia ambao wamekuwa wakifanya biashara na shughuli mbali mbali kupitia mpaka
Utakubaliana na mimi kwamba hakuna kiumbe haiambacho hakijawahi kuwashwa, tukianzia kwetu sisiwanadamu hadi wanyama, ukiachilia mbali namiwasho ya mtu anayesumbiliwa na maradhi aukunguni, ipo yenye
Kama unaishi maisha ya kununua vitu kisa mtu mwingine kanunua hutakuja kutoboa… Kama unaishi maisha ya kumpeleka mtoto katika shule za gharama kisa fulani kafanya
Utakubaliana na mimi kwamba hakuna kiumbe haiambacho hakijawahi kuwashwa, tukianzia kwetu sisiwanadamu hadi wanyama, ukiachilia mbali namiwasho ya mtu anayesumbiliwa na maradhi aukunguni, ipo yenye
Klabu ya Eintracht Frankfurt ya Bundesliga imethibitisha kumsajili mshambuliaji Saša Kalajdžić kwa mkataba wa mkopo kutoka Wolves ya ligi kuu England. Sasa (26) raia wa
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi amesema sheria mpya ya uwekezaji ya mwaka 2023 itakuwa bora Afrika ambayo ataisaini
Kujiuzulu kwa Borne kumekuja wakati ambapo Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron akitarajiwa kufanya mabadiliko ya timu yake ya viongozi wa juu kabla ya chaguzi za
Mkuu wa mkoa wa Katanga nchini Jamhuri ya Kimokrasia ya Congo amewaamuru walinda usalama kuondoka nyumbani kwa aliyekuwa Mgombea wa kiti cha Urais Moise Katumbi.